- 102 viewsDuration: 1:31Raila Odinga Junior amesimikwa kuwa kiongozi wa familia ya aliyekuwa waziri mkuu na kinara wa upinzani Raila Odinga. Katika sherehe ya kitamaduni ya jamii ya Wajaluo iliyohusisha kunyolewa nywele kwa wanafamilia siku nne baada ya mazishi, Junior alikabidhiwa uongozi wa familia ya Raila. Hata hivyo wadhifa huo si wa kisiasa bali ni kuhakikisha uwazi kuhusu mkuu wa familia kwa mujibu wa mila na desturi kufuatia kifo cha baba yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive