Rais William Ruto ametangaza siku saba za maombolezi kufuatia kifo cha aliyekuwa waziri mkuu, Raila Odinga. Katika tangazo rasmi lililotolewa leo katika Ikulu ya Nairobi, Rais aliagiza bendera ya taifa ipeperushwe nusu mlingoti kote nchini na katika balozi zote za Kenya nje ya nchi hadi siku ya mazishi ya Odinga. Akimtaja kama kiongozi wa kipekee na mwanamageuzi jasiri, rais Ruto alisema kuwa maisha na urathi wa Raila yataendelea kuwa mfano wa kuigwa na vizazi vijavyo. Ben Chumba anatuletea taarifa hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive