Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua miradi katika jiji la Konza

  • | KBC Video
    302 views
    Duration: 2:50
    Rais William Ruto amethibitisha kujitolea kwake kuiongoza Kenya kufikia hadhi ya mataifa yaliyostawi kupitia miradi mikubwa ya maendeleo. Akizungumza katika Kaunti ya Makueni wakati wa uzinduzi wa miradi muhimu katika jiji la kiteknolojia la Konza, Rais alisema kuwa Kenya imekuwa nchi inayoendelea kwa muda mrefu mno, na serikali imeazimia kubadilisha hali hiyo kupitia umoja na kazi kwa bidii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive