Rais Ruto: Yule mtu tumepatia hiyo barabara ya Chepsir asipofanya hiyo kazi tutamtatutia kazi ingine, tulete contractor mpya. Alikuwa ananiambia eti mvua inamsumbua, lakini nitamkaza. Hiyo kazi lazima atimize kwa sababu wananchi wanasumbuliwa kufikisha mali yao sokoni.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive