- 336 viewsDuration: 3:33Siasa zilitawala matukio Jumapili huku baadhi ya wanasiasa wakianza maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Novemba na wengine wakiendelea kujipigia debe kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alikuwa katika eneo lake la Nyeri ambako aliwataka wakazi wa eneo la kati mwa nchi kuunga mkono azma yake ya kuwania urais mwaka wa 2027. Gladys Mungai na maelezo ya kina kuhusu taarifa hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive