- 3,036 viewsDuration: 2:08Rais Ruto: Wakati mambo ya 'Ex' yalisemekana, nikaona watu hapa wanaanza kuongea. Na mimi nikaona Rachel anajaribu kunitazama, nikakaza macho nikaangalia mbele. Ni kama alikuwa ananiuliza, 'Hata wewe uko na hii maneno?' Lakini Rachel si unajua maneno yangu yote naweka wazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive