Skip to main content
Skip to main content

Safari ya mkwasi tajika Manu Chandaria

  • | KBC Video
    517 views
    Duration: 5:45
    Akiwa na tuzo 140 kutokana na mafanikio yake katika biashara pamoja na uhisani Manu Chandaria mwenye umri wa miaka 96 ni miongoni mwa wakwasi tajika barani Afrika kulingana na jarida la FORBES Africa. Lakini mtazamo wake kuhusu safari ya maisha ni upi? Tulimtembelea Manu Chandaria nyumbani kwake katika mtaa wa Muthaiga jijini Nairobi na kuandaa ripoti ifuatayo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive