Ni wanasiasa wachache mno wameshiriki kwenye safari ya kisiasa ya taifa hili jinsi Raila Amolo Odinga alivyokuwa. Mwanamume wa haiba kubwa, mjasiri na mwenye ukakamavu, aliyejulikana na wengi kama Baba. Baba wa demokrasia humu nchini. Raila alijitolea kupigania uhuru, haki na demokrasia. Ebu tuangalie jinsi maisha yake ya awali yalivyokuwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive