Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Busia yamulikwa kwa kutoa mikopo kwa watu binafsi

  • | KBC Video
    313 views
    Duration: 1:42
    Serikali ya kaunti ya Busia imemulikwa kwa kushindwa kuweka mikakati mwafaka ya kurejesha fedha za mikopo iliyotolewa kwa watu binafsi pamoja na vyama vya ushirika za jumla ya mamilioni ya fedha. Kamati ya uwekezaji wa fedha za umma ya bunge la seneti ya kaunti hiyo imesema ilishtuka kugundua kwamba baadhi ya walionufaika na mikopo hiyo hata hawakuwasilisha vitambulisho vyao kabla ya kupokea fedha hizo. Gavana wa kaunti hiyo Paul Otuoma hata hivyo, anasisitiza fedha zote za umma zitarejeshwa pindi bunge la kaunti hiyo litakapopitisha sheria husika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive