Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Turkana yapokea dawa kutoka KEMSA kwa lengo la kuboresha huduma za afya

  • | TV 47
    38 views
    Duration: 1:41
    Serikali ya Kaunti ya Turkana yapokea dawa kutoka KEMSA. Dawa hizo zinagharimu shilingi milioni 120. Hospitali 234 kwenye Kaunti ya Turkana zitapokea dawa hizo. Hospitali zote zilizoko mashinani zahimizwa kutoa huduma bila ada yoyote. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __