- 318 viewsDuration: 2:44Wizara ya Ulinzi inashirikiana na mashirika mbalimbali ya serikali kuhakikisha shughuli ya kuwasajili makurutu wa kijeshi mwaka huu ni ya haki, uwazi na ya kuaminika. Waziri wa Ulinzi Soipan Tuya aliliondolea lawama jeshi la KDF ya kuhusika katika visa vya ufisadi na udanganyifu katika shughuli ya usajili akisema visa vyote vilivyoripotiwa vilichunguzwa na hatua za kisheria kuchukuliwa. Shughuli hiyo iliyozinduliwa leo itaendelea hadi tarehe 25 mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive