"Ufisadi umekuwa kama saratani nchini. Hivi karibuni Rais Ruto aliteua jopo la kupambana na ufisadi, jambo linalochekesha mno; ni sawa na kudai mbu wapambane na malaria. Haiwezekani viongozi wafisadi kupigana na ufisadi. Shida kubwa iko kwetu wananchi, kwa sababu kila uchaguzi tunawachagua tena viongozi wale wale mafisadi, tukigeuza kura kuwa kama biashara ya “nipe pesa, nikupe kura. - Cornelius Kitonga, Kiongozi wa Vijana
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__