Pilka pilka za kisiasa ziliendelea leo huku viongozi wa kisiasa wakidai kuwepo kwa njama ya tume ya IEBC ya kuwasajili watu wasiokuwa wakenya kuwa wapiga kura kwenye shughuli hiyo inayoendelea.Kulingana na viongozi hao, hatua hiyo inakusudiwa kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027.Wakati uo huo, waziri wa utumishi wa umma,Geoffrey Ruku ameishutumu upinzani kwa madai ya kuwahujumu viongozi waliochaguliwa wakati wa mkutano uliofanyika jana Embu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive