Uchunguzi wa zaidi ya vituo vya afya 3,600 wa mwaka 2024 umefichua mianya katika utoaji huduma, idadi ndogo ya wafanyakazi na ukosefu wa uwajibikaji vikiwemo visa vya mapuuza vinavyochangia vifo vya kina mama waja wazito ambavyo vingeweza kudhibitiwa. Waziri wa afya Aden Duale amesikitikia kuongezeka kwa vifo vya kina mama waja wazito humu nchini, akitishia kubatilisha leseni za wahudumu wa afya wanaohusika na visa hivyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive