Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wamuomboleza Raila, wamtaja kuwa kiongozi mtetezi wa demokrasia na haki

  • | KBC Video
    5,245 views
    Duration: 2:47
    Viongozi wa kisiasa kote nchini wanaendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Viongozi hao wametaja kifo cha Marehemu Raila kuwa pigo kubwa kwa taifa. Aidha, wametoa rambirambi zao kwa familia ya Odinga, marafiki na Wakenya kwa jumla. Raila, ambaye alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani humu nchini, ametajwa kuwa kiongozi mahiri na nguli wa siasa za Kenya, aliyepigania demokrasia, haki ya kijamii na umoja wa kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive