Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa Posta kuanza mgomo Jumatatu wakilalamikia kutolipwa mishahara

  • | KBC Video
    291 views
    Duration: 2:35
    Chama cha wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano (COWU) kimetangaza mgomo wa kitaifa wa wafanyakazi wa shirika la Posta kuanziawiki ijayo, kikilalamikia kutolipwa mishahara kwa wanachama wake kwa miezi kadhaa. Kwa mujibu wa chama hicho, wafanyakazi hao wataanza mgomo Jumatatu ijayo, baada ya kutolipwa mshahara kwa miezi saba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive