FEDHA ZA WAHADHIRI
Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu (UASU) kimepinga agizo la wizara ya elimu la kubuniwa kwa jopo kazi maalum kubainisha kiwango halisi cha fedha ambazo serikali inadaiwa na wahadhiri wanaogoma, chini ya mkataba wa maelewano wa mwaka 2017-2021. Viongozi wa chama hicho wamesisitiza kuwa kiasi kinachodaiwa ni shilingi bilioni 7.9, na wakaitaka serikali ikiri deni hilo na ilipe. Wamesema kuwa bila kutimizwa kwa masharti hayo, mgomo huo ambao sasa umedumu kwa mwezi mmoja utaendelea.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive