Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa chuo cha TVET cha Navakholo waandamana

  • | KBC Video
    87 views
    Duration: 1:45
    Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya kiufundi chaNavakholo katika kaunti ya Kakamega waliandamana kuelezea ghadhabu yao baada ya kupigwa marufuku kushiriki kwenye mashindano ya kitaifa ya vyuo vya kiufundi yatakayoanza hapo kesho mjini Mombasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive