Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi, Simon Kachapin, ameelezea wasiwasi kuhusiana na ongezeko la uvamizi wa misitu katika kaunti hiyo, akitaka hatua za haraka zichukuliwe kuwazuia wakazi kukata miti kiholela.Gavana Kachapin amesema juhudi zinazowekwa na serikali za kupanda miti zaidi zinahujumiwa na shughuli zisizothibitiwa katika misitu. Amesema atatenga rasilimali kuhakikisha misitu katika kaunti hiyo inalindwa dhidi ya uharibifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive