- 170 viewsDuration: 1:45Wataalamu wa teknolojia ya uhandisi nchini Kenya wanataka watambuliwe rasmi kupitia Bodi ya Usajili wa Teknolojia ya Uhandisi ya Kenya, iliyoanzishwa mwaka 2016 ili kulainisha udhibiti na kudumisha viwango vya utendakazi vya mafundi na wataalamu katika sekta ya ujenzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive