Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wafanyikazi 400 Pokot Magharibi wasusia kazi; walalamikia kuhusu kunyanyaswa na malipo duni

  • | TV 47
    361 views
    Duration: 4:07
    Zaidi ya wafanyikazi 400 wa barabara Pokot Magharibi wasusia kazi. Wafanyikazi hao wanadai kunyanyaswa na mkandarasi wa barabara. Malipo duni, mazingira duni ya kazi ni miongoni mwa vilio vyao. Waliandamana mjini Kapenguria na kufunga barabara. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __