Kampuni ya Jabavu Village Limited yakanusha madai kwamba ujenzi wa nyumba nafuu umekawama Ngara

  • | Citizen TV
    644 views

    Wanakandarasi wakuu wa Mradi wa ujenzi wa nyumba 800 za bei nafuu katika eneo la Ngara, jijini Nairobi, unaodhaminiwa na serikali ya kaunti ya Nairobi kwa ushirikiano na kampuni ya Jabavu Village Limited, amekanusha madai kwamba ujenzi wa Mradi huo umekwama. Akihotubia wanahabari katika eneo la ujenzi wa nyumba hizo, wanakandarasi hao aidha wamesisitiza kwamba cheti maalum cha ardhi cha bustani ya Jevanjee, hakikutumika kupata udhamini wa mradi huo.