Wagonjwa wazidi kulalamikia mahangaiko ya SHA

  • | Citizen TV
    800 views

    Wizara ya afya sasa inasema iko mbioni kuhakikisha kuwa vifaa muhimu vya matibabu vinavyohitajika vimefika kwenye vituo vya afya katika miezi miwili ijayo. Haya ni huku wagonjwa wakiendelea kuelezea mahangaiko yao ya kupata matibabu chini ya bima mpya ya SHA.