Jopo laahirisha kesi ya Gachagua hadi Januari mwaka ujao

  • | KBC Video
    339 views

    Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu limekubaliana kuahirisha kesi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kupinga kuondolewa kwake wadhifani hadi tarehe 23 mwezi Januari mwaka ujao ili kuwezesha rufaa kuu kuendelea katika mahakama ya rufani. Rufaa kuu inapinga hatua ya majaji hao kukataa kujiondoa kusikiza kesi hiyo na pia kuteuliwa kwa jopo hilo na naibu jaji mkuu.\

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive