Serikali inazidi kuwarai wananchi kujisajili kwenye bima ya SHA ili kupata huduma bora za matibabu

  • | Citizen TV
    101 views

    Serikali inazidi kuwarai wananchi kujisajili kwenye bima ya afya - SHA - ili kupata huduma bora za matibabu. naibu msemaji wa serikali mwanaisha chidzuga anasema kuwa serikali iko mbioni kutatua changamoto zinzoshuhudiwa na baadhi ya wagonjwa hospitalini.