Serikali ya kaunti ya Machakos yazindua mpango wa kutoa hatimiliki 50,000 kwa wakaazi

  • | Citizen TV
    460 views

    Serikali ya kaunti ya machakos imezindua mpango wa kutoa hatimiliki 50,000 kwa wakazi ili kuwapa uwezo wa kulinda na kustawisha mashamba yao.