Viongozi wa Kanisa walalamikia mpango wa SHIF huku wakenya wakiharakishwa na wengi kuaangamia

  • | NTV Video
    281 views

    Viongozi wa kikiristo hii leo wameeleza kutoridhishwa kwao na mpango wa afya ya SHIF huku wakilalamikia mfumo huo wa bima ya afya imeharakishwa na wakenya wengi wanaangamia na hata kufilisika kutokana kulazimika kulipia baadhi ya matibabu ambayo bima ya kale ya nhif ilikuwa inashughulikia.wakati huohuo waziri wa afya debra barasa ameendelea kupinga taarifa za kuwa shif inahitilafu za malipo mwanahabari wetu wa maswala ya afya na sayansi brygettes ngana na maelezo zaidi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya