Mabunge ya kitaifa na seneti yatofautiana kuhusu ugavi wa mapato

  • | KBC Video
    33 views

    Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga ametahadharisha kwamba ushindani wa ubabe unaoshuhudiwa kati ya bunge la kitaifa na lile la seneti kuhusu ugavi wa mapato kwa kaunti unatishia kusambaratisha shughuli za serikali hizo wakati huu ambapo zinahitajika kutimiza majukumu yake kikamilifu ili kupiga jeki uchumi wa taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News