Shughuli fiche bado zaendelea katika timbo la Hillo ilioko Moyale

  • | Citizen TV
    1,891 views

    Na huku Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja akionekana kukana vifo vilivyoripotiwa katika timbo la dhahabu la Hillo eneo la Moyale kaunti ya Marsabit, uchunguzi wetu umebaini biashara hii imeendelezwa na kuendelea kuhatarisha maisha ya wakaazi wengi. Vifo vya watu watano vilivyoripotiwa vikiibua maswali mengi kuhusu ufisadi, vifo na ulafi kwenye biashara hii ya uchimbaji dhahabu, kwenye makala haya maalum yaliyoandaliwa na mwanahabari wetu Melita Oletenges