Kenya na China zatia saini mkataba

  • | KBC Video
    80 views

    Chama cha wanafunzi wa Kenya waliosomea nchini China kimetia saini mkataba wa maelewano na mashirika manane ya kibiashara ya China kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kuwawezesha vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News