Afisi ya wakfu wa Bill Gates yafunguliwa Nairobi

  • | KBC Video
    48 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi anasema serikali itaendelea kujitahidi kuboresha viwango vya maisha ya raia na kushirikiana na mashirika yanayopania kuleta mabadiliko ya kijamii na kiuchumi na ustawi kwa Wakenya wote

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News