Idadi ya vifo vya watoto njiti yadaiwa kuwa juu

  • | K24 Video
    9 views

    Japokuwa idadi ya vifo vya watoto kuaga wakati wa kujifungua vimepungua, idadi ya vifo vya watoto njiti bado ipo juu sio tu humu nchini bali ulimwenguni kote, ikikadiriwa kuwa takriban milioni 13.4 ya watoto njiti huaga kila mwaka. hii ni kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni, akina mama na vituo vya afya zinakumbatia mbinu ya kangaroo mother care ili kuwasaidia watoto njiti kufikia hatua zinazohitajika ikiwemo kuongeza uzani na kinga ya mwili.