Ugonjwa wa Malaria na Mimba za utotoni yatambuliwa kuwa sababu kuu ya vifo vya wototo Homa Bay

  • | NTV Video
    40 views

    Huku wakenya kote nchini wakijumuika katika kuadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya siku zao, ugonjwa wa malaria na mimba za utotoni zimetambuliwa kuwa miongoni mwa sababu kuu za vifo vya watoto wachanga nchini haswa kaunti ya homabay. kulingana na mkurugenzi mkuu wa afyamnchini Patrick Amoth, homa bay ni mojawapo ya kaunti zinazoongoza kwa vifo vya watoto wachanga kwa asilimia 26 kwa kila watoto 1000 wanaozaliwa wakiwa hai. mwanahabari wetu wa nyanza kusini bernard ojwang ana mengi zaidi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya