Msafara wa Safaricom umeendelea leo katika kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    345 views

    Msafara wa Sambaza furaha na Safaricom umeingia siku ya pili eneo la Mlima Kenya. Maadhimisho ya miaka 24 ya kampini hii yameendelea kaunti ya Nyeri, ambapo walianzia othaya na kumalizia mjini Nyeri