Kampuni ya Directline yakosoa yaliyojadiliwa na kamati ya bunge

  • | Citizen TV
    250 views

    Kampuni ya bima ya Directline assuarance imemuarifu waziri wa fedha John Mbadi kuwa kampuni ya royal credit haijawahi kuhamisha hisa zake kwa mtu yeyote.