Mamia ya wachimbaji madini haramu wakwama mgodini Afrika Kusini

  • | VOA Swahili
    540 views
    Mamia ya wachimbaji madini haramu Ijumaa waliendelea kukwama mgodini wakiwa hawana maji wala chakula katika mgodi wa dhahabu uliokuwa umetelekezwa huko Stilfontein, Afrika Kusini. Mamlaka husika zimekataa kutoa msaada wowote ikiwa ni sehamu ya operesheni ya kukabiliana na na uchimbaji madini haramu na uhalifu. Mwandishi wa VOA Thuso Khumalo alitembelea mgodi uliotelekezwa huko Stilfontein na kutayarisha ripoti hii... #Stilfontein #madini #mgodi #dhahabu #wachimbaji #afrikakusini