Raia 2 wenye asili ya Kiitaliano waliopokea milioni 32 kwa njia ya udanganyifu wafikishwa kotini

  • | Citizen TV
    931 views

    Mahakama ya Kilifi imeanza kusikiza Kesi dhidi ya raia wawili wenye asili ya Kiitaliano walioshtakiwa kwa kosa la kupokea Shillingi million 32 kwa njia ya udanganyifu huko Watamu kaunti ya Kilifi.