Takwimu za kitaifa za 2022, zaonyesha kuwa 8.5% ya wananchi hawana vyoo na hujisaidia vichakani

  • | NTV Video
    143 views

    Takwimu za kitaifa za mwaka 2022, zinaonyesha kuwa asilimia 8 nukta 5 ya wananchi nchini Kenya hawana vyoo na hujisaidia vichakani. Kulingana na ruwaza ya serikali, lengo ni kutokomeza ukosefu wa vyoo katika familia zote kufikia mwaka 2030.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya