Mahakama ilikuwa imefungwa baada ya jaji kufariki

  • | Citizen TV
    197 views

    Hatimaye Mahakama kuu ya Siaya imerejelea shughuli za kawaida baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na kifo cha ghafla cha Jaji Daniel Ogembo mwezi Julai.