Baraza la magavana wakiri kutokuwa na uwezo wa kumudu makubaliano ya madaktari yalioandikwa

  • | NTV Video
    415 views

    Nchi huenda ikakabiliwa na wimbi jingine la mgomo wa Madaktari baada ya Baraza la Magavana kukiri kutokuwa na uwezo wa kumudu sehemu yao ya makubaliano na Madaktari, katika mwaka huu wa kifedha, kama ilivyoandikwa katika Mkataba wao na madaktari. Mwenyekiti wa baraza la magavana, Ahmed Abdullahi, anasema, nyongeza ya mwaka huu ya shilingi bilioni mbili pekee kwa kile ambacho kaunti zilikuwa zimetengewa mwaka uliopita, itakuwa na athari mbaya za kifedha kwa serikali za kaunti. Mwanahabari wetu Vincent Oduor anaelezea zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya