Mhubiri tata Paul Mackenzie amefikishwa kizimbani katika mahakama ya Tononoka

  • | Citizen TV
    1,099 views

    Mhubiri tata Paul Thenge Mackenzie na washukiwa wengine wa mauwaji ya Shakahola wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Tononoka wanakokabiliwa na tuhuma za mauwaji dhidi ya watoto.