NCIC yatahadharisha kuhusu hatari ya ghasia zinazohusiana na misukosuko ya kisiasa

  • | NTV Video
    1,085 views

    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa - NCIC, imetoa tahadhari kwa taifa kwamba misukosuko ya kisiasa inayoendelea kushuhudiwa nchiini, ni kiungo kikuu cha kusambaa kwa ghasia ambazo zina uwezo wa kuleta maafa pamoja na kupasuka kwa umoja na usalama wa nchi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya