- 234 viewsJARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia huduma ya internet Afrika Mashariki, inavyosaidia kurahihisha mawasiliano, kukuza uchumi lakini pia wasiwasi wa kutumika kufikia taarifa za siri za watumiaji. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Huduma za Internet zinavyosaidia kukuza Uchumi Afrika Mashariki
- - MITINDO YA KIPWANI ››
- 20 Apr 2025 - An Easter Friday disco night turned into a tragedy after two people were electrocuted to death and one other sustained serious injuries.
- 20 Apr 2025 - Police in Nyatike, Migori County are in search of a 62-year-old man accused of defiling his daughter aged 11 years.
- 20 Apr 2025 - A 3-year-old boy was found dead in Wich-Lum area, Siaya County on Saturday evening. The toddler is suspected to have been murdered by his father following a domestic squabble.
- 20 Apr 2025 - At least 11 people, including three children, were killed in New Delhi Saturday after a residential building collapsed on the outskirts of the Indian capital, local reports and authorities said.
- 20 Apr 2025 - The US Supreme Court, in a dramatic nighttime intervention Saturday, blocked President Donald Trump's unprecedented use of an obscure law to deport Venezuelan migrants without due process.
- 20 Apr 2025 - Pope Francis is expected to delight Catholics all over the world during Easter celebrations at the Vatican on Sunday, just weeks after he was fighting for his life in hospital while suffering from pneumonia.
- 20 Apr 2025 - Global tax plans targeting billionaires and multinational companies are running aground, with the United States torpedoing reforms under President Donald Trump.
- 20 Apr 2025 - The petition comes amid the completion of a bypass along the busy highway.
- 20 Apr 2025 - The head of the hospital service on the French Indian Ocean island of Reunion on Sunday called for medical reinforcements to cope with an epidemic of the mosquito-borne chikungunya disease. “We are really stretched to our limits,” Lionel Calenge told…
- 20 Apr 2025 - The Kenya National Union of Teachers (KNUT) has condemned alleged involvement of politicians in the recruitment of teachers. KNUT Secretary General Collins Oyuu claims that interference from members of the political class has unjustly excluded deserving…