Waliompinga Ruto wageuka watetezi sugu

  • | Citizen TV
    4,097 views

    Viongozi wa ODM walioingia kwenye serikali ya Rais William Ruto sasa wanaonekana kuwa watetezi wake wakubwa, huku wakiwa kwenye mstari wa mbele kuteteta sera na miradi ya serikali. Hii ikiwa ni abautani ya jinsi walivyomkashifu Ruto kabla ya kuingia kwenye serikali ya kenya kwanza chini ya miezi sita iliyopita.