Biden anafahari kuwa rais wa kwanza wa Marekani kuzuru Angola

  • | VOA Swahili
    763 views
    Rais wa Marekani Joe Biden Jumanne alieleza fahari yake ya kuweka historia baada ya kuwa kiongozi wa kwanza wa Washington kuzuru Angola wakati wa ziara yake ya kidiplomasia huko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Wakati akitoa hotuba yake katika Makumbusho ya Kitaifa ya Utumwa huko Luanda, Angola, Biden alisema uhusiano kati ya Marekani na Angola umeimarika baada ya miaka mingi na utaendelea kuwa hivyo hata baada ya yeye kuondoka White House Januari 2025. - Reuters #voaswahili #afrika #angola #biden #marekani #makumbusho #utumwa #diplomasia