Rais apongeza wakenya kwa kuonesha kani na uvumilivu katika kupambana na changamoto za kiuchumi

  • | NTV Video
    289 views

    Rais William Ruto aliliongoza taifa kusherekea miaka 61 ya Uhuru tangu Kenya kumwongoa mbeberu na kuanza kujitawala mwaka 1963. Rais aliwapongeza wakenya kwa kuonesha kani na uvumilivu katika kupambana na changamoto za kiuchumi, lakini zaidi akatilia mkazo kauli mbiu ya mwaka huu kuhusu umuhimu wa ajira kwa vijana..

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya