ECOWAS yaunga mkono kuundwa kwa mahakama maalum

  • | Citizen TV
    176 views

    Makundi kadhaa ya kutetea haki za binadamu nchini Gambia yamekaribisha uamuzi wa Jumuia ya Uchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS kuunga mkono kuundwa kwa mahakama maalum kuhukumu uhalifu ulotendwa wakati wa utawala wa kimabavu wa Yahya Jammeh.