Naibu Rais Kithure Kindiki Aongoza Mashauriano Kukabiliana Na Dhuluma Za Kijinsia

  • | TV 47
    8 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki Aongoza Mashauriano Kukabiliana Na Dhuluma Za Kijinsia

    Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia na kukithiri kwa mauaji ya wanawake, Naibu Rais Kithure Kindiki ameongoza kikao cha mashauriano na wadau mbalimbali kuhusu utekelezaji wa uamuzi wa baraza la mawaziri wa kuundwa kwa jopokazi litakaloshuglikia visa hivyo.

    #CBCEngagement #KICD #CBC #UpeoWaTV47 #TV47DailyReport

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __