Moto wasababisha hasara ya mamilioni katika duka la Modern furniture Pacific mjini Ruiru

  • | K24 Video
    110 views

    Moto umesababisha hasara ya mamilioni katika duka la modern furniture Pacific mjini Ruiru, kaunti ya Kiambu, leo asubuhi. Inaarifiwa moto ulitokea muda mfupi baada ya umeme kurejea majira ya saa kumi na mbili asubuhi, kufuatia usiku wa kiza kinene bila umeme.