Magugu aina ya ipomea yaharibu lishe ya mifugo Kajiado

  • | Citizen TV
    267 views

    Huku magugu aina ya IPOMEA yakizidi kutishia shuguli za ufugaji katika kaunti ya Kajiado ambapo zaidi ya asilimia 30 ya malisho yamevamia na gugu hilo. wadau wa mazingira pamoja na wafugaji wanazidi kutoa wito kwa wanasayansi kujitokeza na kufanya utafiti wa namna ya kuyamaliza magugu hayo.